ABOUT THE BOOK

 

 

 

ABOUT THE BOOK/ KUHUSU KITABU

 

 

 

ENGLISH

The book she has just launched took her almost 10 years to write and compile it. It was journey of its own kind as she was documenting the stories with her grandmother Bibi Kozaina who lived in Makanya Kimunyu for 87 years. So in her book she covered all aspect of African lifestyle. The beautiful life that she believed made a greatest to her life and achievement she got so far.

 

SWAHILI TRANSLATE

Kitabu chake ambacho amekizindua siku za hivi karibuni kimemchukua takriban miaka 10 wakati wa kukiandika hadi kukichapisha. Alivutiwa na habari za bibi yake Bibi Kozaina ambaye aliiishi kitongoji cha Makanya Kimunyu kwa mda wa miaka 87. Maish yake ya kiafrika na bibi yake anaamini ni maisha bora ambayo humpa motto wa kike mafanikio.

 

ORDER THE BOOK NOW - NUNUA KITABU 

Name:FATUMA KANGE
Street:Kimweri Rd, Msasani
City:Dar es Salaam
Country:TANZANIA
 
Phone:+255 767 520 116

 

 


 

 

BOOK THEME/ UJEMBE WA KITABU 

 

ENGLISH- LUKUNDO MEANS LOVE 

 

The book is more on African way of life, the love and the life that respect dignity, humility and affection.. Fatuma Kange she believe the word LUKUNDO is an anthropological concept and  is a subject for research. In the concept if adopted will give this world the love that is needed by every human being. The African concept ‘LUKUNDO’ is beyond what words can explain. ITS AWAY OF LIFE!

 

SWAHILI  TRANSLATE. LUKUNDO LINAAMAANISHA UPENDO 

 

Kitabu kimezungumzia maana ya maisha ya kiafrika juu ya upendo, udugu na Ubuntu ambayo uliheshimu utu, uvumilivu na maelewano.( Langu lako na lako langu) Fatuma Kange anaamini kwamba  neon LUKUNDO ni neon la kitamaduni –Anthropologia’ ambalo linahitaji kufanyiwa utafiti. Kama likihuishwa Duniani na kukubalika DUNIA itapata kile kinachotakiwa yaani maisha ya KIUTU. Anaamini LUKUNDO ndiyo njia ya maisha.

CONTACTS / MAWASILIANO

Email: [email protected]
+255 767 520 116 

 

Recent Members

No members found.

My Account



Not a member yet? Sign up now!