MY PICTURES & STORIES

 

12.09.2019

English:  I have just come to attend the  Africa Continental Free Trade  Movement 

at SERENA hotel organized by TPSF. The objective is to inform all of us on the opportunites available 

so we cap:ture the african market. Hon Alli Mfuruki made a perfect presentation.

 

Kiswahili: Nimetoka kuhudhuria Mkutano maalumu wa Shirikisho la Ufanyaji Biashara Africa bila mipaka

katika hotel ya Serena liondaliwa na TPSF. Fursa za soko hilo ni kubwa na ulikuwa mkutano wa kuandaa

fursa.

 

Date: 13.09.2019

English:  So many women visited my office today to register for the upcoming 

Women Economic Empowerement Conference- MADIRISHA CONCEPT.

i am so happy the way it has been received.

 

Swahili: Wanawake wengi, wameweza kumbelea ofisi za GS1 Tanzania kwa ajili ya usaji

wa kushiriki kwa mkutano wa wanawake ujao- MADIRISHA CONCEPT.

Nimefurahi saana

 

Date: 11.09.2019

English: MADIRISHA COOPERATIVE CONCEPT

This is a new modal I have deleloped to empowere TANZANIA WOMEN producers

to come  and produce together. There are a lot going on after the announcement 

I have made on this new cooperative modal. My happiness is  on how women have received it!!

Many women are visiting my office! 

 

Swahili: THANA YA MADIRISHA

Hii ni muundo mpya nilioutengeneza wa kuwezesha wanawake wa Kitanzania wazalishaji

ili waweze kuja pamoja na kuzalisha pamoja. Kuna mambo mengi yanayoendelea toka 

nimetoa tangazo juu ya uzalishaji huu wa ushirika. Furaha yangu ni mwitikio na namna

wanawake walivyo upokea. 

Wanawake wengi wanatembelea ofisi yangu

28th August 2019

English: Mr Mtiro, my Uncle who read my book has just called my to inform about the beauty of the book.

He really want every one to get chance to read the book and soon you will see his personal comments when 

he join us.

 

Kiswahili: Bw Mtiro mjomba ambaye amesoma kitabu changu, amenipigia simu na kunieleza juu ya uzuri wa kitabu hiki.

Amesema, angehitaji watu wengi wakisome na punde tutaona maoni yake binafsi baada ya kujiunga na mtandao huu.

(empty)

(empty)

 

English: On 31st August 2019 I have been invited by Women Intergrity Group to inspire them 

on arious  Social Economic empowerement and engagements. Venue: Shekina Gurden.

 

Kiswahili: Tarehe 31 August 2019 nimealikwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha  kikundi cha 

akina mama kinachojulikana kama Women Of Intergrity Group. Mahali Shekina Gurden

 

Tembelea collum ya Event ili uweze kupata fursa ninazohusishwa nazo.

MY PICTURES

 

English:  On 27th August 2019 I was privilladge to be visited by Azam News Presenter Madam Rehema Salim had an interview with her

on the my upcoming women conference on Women and Empowerement. I am going to make a proposal on how Tanzania women should

now fordge ahead given the opportunities that are available currently through the 5th Gvt.

 

Kiswahili:  Leo tarehe  27th August 2019, nimepata heshima ya kutembelewa na Mtangazaji wa AZAM News  Bi. Rehema Salim nan kufanya naye interview juu ya 

congamano langu la wanawake lijalo la Uwezeshaji wanawake Kiuchumi. Ninategemea kufanya mapendekezo kwa wanawake wa Tanzania juu ya kuweka 

mikakati ya mbele ya namna kwa wanawake wanavyoweza kukamata fursa zilizopo kulingana na fursa za serikali hii ya awamu ya Tano zinavyotupa nafasi hii.

 

Date: 1st August 2019

English

I was inspired by Hon. Baraka Obama former  (USA) President to write my book! one day I will share my story.

Swahili stranslate

Nilipata hamasa ya kuandika kitabu kupia Hon. Baraka Obama raisi aliyepita wa Marekani. Siku mmoja nitakuambia hadithi yangu.

 

English:

 I thank you Mr. Babatunde for a wonderful inputs to my website. I really appreciate for your work and my Allah Bless you more.

 

Swahili translate:

Nakushukuru sana  Ndugu yangu Bw. Babaantude kwa kuchangia mambo mazuri na ya kushangaza katika website yangu.  Nimefurahi sana na mwenyezi Mungu na akubariki zaidi.

English

Mtwara Region is one of the costal region in Tanzania. It has a lot of excitment and shows the african civilizaion. The house around mtwara and the street arrangement of Mtwara Region resembels that of Tanga Region and indeed its send a signal of pre colonial era,  and the civilization  artitude  which made the costal people famous.

Swahili translate

Mkoa wa Mtwara ni miongoni mwa mikoa iliyopo pembezoni mwa bahari  nchini Tanzania. Ina mambo mengi ya kuvutuia ambayo  inatuambia juu ya familia za pwani zilivyostaarabika. Mitaa ya nyumba zao inaonesha utaarabu wa kiafrika ambao ulikuwepo toka awali na hufanana kabisa ni ule wa Mkoa wa Tanga ambapo ilionesha ustaarabu hata kabla ya kuja kwa ukoloni ambao ulifanya watu wa pwani kuwa maarufu. 

MY PICTURES